Home
Unlabelled
HAPA NAMNA GANI TENA????
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii ni hatari kwa afya za walaji na hii inaonyesha kuwa nembo ya TBS inatumika tu pale cheti cha ubora kinapopatikana baada ya hapo mambo yanakuwa ndivyo sivyo hakuna umakini katika kila jambo nawaomba TBS wafuatilie jambo hilo
ReplyDeleteni mambo ya sayansi hayo. Imekuwa manufaktured in the future! I love Tanzania
ReplyDeleteHivi ndivyo Watanzania tunavyo uwawa na wamiliki wa viwanda na Mabepari!
ReplyDeleteKosa la kwanza la Jinai ni Tarehe ya kutengenezwa yaani MANUFACTURING DATE 13TH MAY, 2014 bado haijafika ndio kwanza leo tarahe 23RD APRIL, 2014!
Jamaa Mabosi wa Kiwanda hicho watafutwe huko Arusha wakamatwe.
Mhhhh!,
ReplyDeletehii Bijampora moja kwa moja,
hii Mizambwa Enterprises direct,
Utakuta Kiwanda hicho kipo Keko Magurumbasi Jijini Darisalama na sio Arusha!
Anuani ya Arusha na hiyo namba ya simu vimewekwa kama babaisha bwege tu.
Msione watu wana miliki Mabilioni ya Shilingi ni kutokana na Uzalishaji wa bidhaa mchafu kama huu ambao Jamhuri ya Muungano ya Tanzania inaambulia ZERO TAX huku afya za wananchi wa Tanzania zikiwa mnadani tena BILA BIMA YA AFYA!
ReplyDeleteHuo sio uzalishaji wa Arusha ni zuf#ga tu, mpango mzima ni Uzalishaji wa kutokea hapo kuliko vunjika shoka ukabaki mpini, Manzese!
ReplyDeletePOST DATED! Hahahahaha!
ReplyDeleteKizazaa!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteThe mdudu,waziri wa viwanda yupo wapi? Tbs wapo wapo tu mm nilishasemaga Tatizo la TANZANIA watu wote mpaka viongozi wetu tunafanya kazi pasipo na ujuzi wala maarifa ndio maana kila idara ZILO au MA 00000 why nasema hivi? Tuje kwenye idala zote muhimu za nchi, 1 Tanesco imeanzishwa toka enzi hizo sasa tujiulize wenyewe watanzania wangapi wenye umeme majumbani? 2 wizara ya elimu toka enzi na enzi wanao fauru ni wachache kulinganisha na wanao feri,3 Muhimbili hospitali ya taifa kila kukicha madactari feki wanakamatwa,4 viwanda vyote uzalishaji ndio hivyo kama mnavyoona hivyo vioja vya mwaka na wanaofanya hivyo ni wadosi au wahindi na msiniulize why fanyeni uchunguzi kisha mtakubaliana na mm, 5 shirika la ndege Tanzania ni nchi ya kwanza duniani ambayo haina ndege inayoweza kufanya safari za kwenda nchi za maana duniani kama vile USA,UK,CHINA,JAPANI,SINGAPORL,GERMAN,sasa tatizo kama nilivyosema huwezi ukaongoza kitu ambacho HUNA UJUZI NACHO NDIO MAANA KILA IDARA INAONGOZWA KIU JANJA UJANJA TU PASIPO NA UBUNIFU WOWOTE,ndugu zanguni ngoja niishie hapa nisije onekana muongo bule wakati ndio halihalisi ilivyo hapa kwetu Tanzania inaniuma sn moyoni.
ReplyDeleteFor future use
ReplyDeleteHata wewe mdau unahitaji shule...kufauru na kuferi na bule ndio kiswahili gani
ReplyDelete