Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Suzan Kaganda akiongea na waandishi wa habari. Kulia mwenye shati la bluu ni OC-CID wilaya ya Tabora ASP - R.S. Bottea
 Kamanda Suzan Kaganda akionesha mitambo ya Pombe ya moshi na pombe iliyokamatwa maeneo mbalimbali ya mkoa wa Tabora
 Kamanda Suzan Kaganda akionesha mitambo ya kutengenezea pombe ya moshi kwa waandishi wa habari
Kamanda Suzan Kaganda akiwaonesha waandishi wa habari Gobore alilokamatwa nalo mhalifu alipokuwa akiongea nao leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tabora ili muweze kuingia Peponi na kuuona Ufalme wa Milele acheni Ujambazi, Wizi wa ng'ombe, kilimo cha Bangi na usindikaji wa pombe ya Gongo !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...