Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akivizindua rasmi vyoo vya Skuli ya Kijitoupele A, B na Sekondari pamoja na Mifereji na Tangi la Maji vilivyojengwa na ufadhili ya Shirika la Umoja wa Mtaifa la Kuhudumia Watoto { UNECEF }.
Mifereji Maalum iliyozunguukwa na wanafunzi kwenye sherehe ya kuzinduliwa rasmi ambayo imejengwa kwa ajili ya kuhudumia wanafunzi wa Skuli ya Kijitoupele A,B na Sekondari.
Moja kati ya madarasa ya skuli ya msingi ya Kijitoupele yanaonekana kuwa na msongamano mkubwa wa wanafunzi wasiopunguwa idadi ya 240.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Kamati ya Skuli ya Kijitoupele Nd. Manafi Said Mwinyi mara baada ya hafla ya kuzinduliwa kwa vyoo vya skuli hiyo.Kushoto ya Nd. Manafi ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mh. Ali Juma Shamhuna nanyuma yao ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bibi Mwanaid Saleh.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimpongeza mwakilishi wa UNICEF hapa Zanzibar Bibi Francesca Morandini kwa uamuzi wa shirika lake kusaidia ufadhili wa ujenzi wa vyoo vya skuli ya Kijitoupele iliyopo Wilaya ya Magharibi. Nyuma ya Bibi Francesca ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Nd. Abdulla Mzee Abdulla. Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mifereji!!!

    ReplyDelete
  2. skuli???

    ReplyDelete
  3. Ndio Skuli! kama bara wanavoita shule! au wazungu wakiita School, kwani si umeelewa mkuu?

    HAlafu hivo vihijabu akiviona Lukuvi ndio anachanganyikiwa kabisa!

    ReplyDelete
  4. Kijito upele

    ReplyDelete
  5. kwa kweli hicho kisiwa kinatakiwa kijitegemee kiwe na serikali yake sasa, hata maneno ya msingi tu tunapishana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...