Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza katika Baraza la Idd El-Fitr la Waislamu wa Afrika Mashariki na Kati Wanaoishi Ubelgiji. Baraza hilo limefanyika leo  Brussels -Ubelgiji 
Balozi wa  Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Waislamu wa Afrika Mashariki na Kati baada kumaliza sherehe za Baraza la Idd liloandaliwa na uongozi huo. Baraza hilo limefanyika Brussels leo. Kushoto kwa Balozi Kamala ni Mhe.Hassan Karera Mwenyekiti wa chama hicho.
.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...