Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2014

    Nampenda sana huyu Dada I wish angesoma kidogo lakini hajachelewa. Anasauti ya kubembeleza sijui Mzaramo wa wapi mwenye sauti tamu ya kubembeleza hivyo.

    ReplyDelete
  2. Masha Allah Riyama, nimeyapenda sana mahojiano yako na Sporah, khususan the way ulivyokuwa ukijibu kwa kituo bila papara, lugha fasaha na kwa kujiamini. Kadhalika umedhihirisha kuwa muwazi na kama ulivyosema, tumeambiwa "Kulli-l-haqqi, walau kana mur'ra..(tuseme ukweli japokuwa unauma)".

    Kwa unavyoonekana ni mtu mwenye 'inswafu' na 'kalima' njema kwa watu, juu ya hilo Mwenyeez Mungu akuzidishie. Kimtazamo, umejengeka kimaadili, malezi na kiimani. Mbali ya kukiri kwako kwa kutokuwa na elimu ya kutosha, nadhani hilo lisikusononeshe sana, madhali umelibaini na kuahidi kulifanya kazi, basi In Sha Allah, utafanikiwa tu na kufikia pale unapostahili na kuweza kutimiza ndoto na malengo yako katika fani yako hiyo ya usanii. Pongezi za dhati na MOLA azidi kukuongoza kila penye kheri na kukunusuru na shari zote - AMEN.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...