Meneja Masoko na huduma kwa wateja wa Mfuko wa GEPF,Aloyce Ntukamazina (kulia) akimkabidhi kadi ya uanachama wa GEPF kwaajili ya kujiwekea akiba,Msanii mkongwe katika bongo movie mzee Chilo mara baada ya tafrija ya ftati iliyoandaliwa maalum kwa wasanii hao.
Msanii Jacky Pentezel akipokea kadi ya uanachama baada ya kujiunga na Mfuko wa GEPF kutoka kwa Meneja Masoko na huduma kwa wateja wa Mfuko wa GEPF,Aloyce Ntukamazina.
Msaanii maarufu katika tasnia ya filamu,Blandina Chagula a.k.a Johari akionyesha kwa furaha kadi yake mpya ya uanachama baada ya kujiunga rasmi na Mfuko wa GEPF
Msanii wa Blongo Movie Bi Fatma Makongoro maarufu kama Bi Mwenda akipokea kadi ya uanachama kutoka kwa Meneja Masoko wa GEPF Bw Aloyce Ntukamazina.
Mweka hazina wa Bongo Movie Bw. Cloud akifurahia kujiunga rasmi na Mfuko wa GEPF

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...