Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Jowika Kasunga (katikati) akikata utepe kuashilia uzinduzi wa nyumba za kisasa za kupangisha za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha AICC jijini Arusha hivi karibuni.
Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakihakikisha wanapata taarifa na matukio muhimu katika uzinduzi katika uzinduzi wa nyumba mpya (Apartments) za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Jowika Kasunga akiwa katika picha ya pamoja na Bodi ya Wakarugenzi ya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) pamoja na wafanyakazi wa Kituo hicho.
Mbunge wa Viti Maalumu kutoka Arusha, Mheshimiwa Catherine Magige (kushoto) naye alijumuika na wadau mbalimbali katika uzinduzi wa nyumba mpya (Apartments) za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Naona kama watu wanakunywa bia wakati wa kazi.....Vipi huo utaratibu? Inaonekana wengine watakuwa wakiendesha magari wakitoka hapo!

    ReplyDelete
  2. Mdau kuwa makini na unachoongea sio kila kinywaji chenye rangi ya njano Ni bia....angalia kwa makini hapo hakuna bia watu wanapata red bull na maji

    ReplyDelete
  3. Muendelee na ujenzi wa nyumba bora zinazoweza kupangishwa kwa gharama nafuu.

    ReplyDelete
  4. Sijui walichekewa wapi! Walitaakiwa mambo haya zamaaaaani. Na wangekuwa ndiyo wapangishaji wakubwa hapa Arusha. Nyumba za kijenge hakuna walichofanya tangu ziachwe na iliyokuwa jumuiya ya Afrika Mashariki. Viwanja vya michezo hata kuviona tu vinavyoharibika utadhani hakuna uongozi.
    Sijui tumelaaniwa?!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...