Miss Tanzania USA aliyemaliza muda wake Joy Kalemera akimvisha taji la Umiss Tanzania USA mshindi wa Miss Tanzania USA 2014 Aysha Cheyo aliyekuwa mwingi wa furaha. Pageant ya Mwaka huu ilifanyika huko Maryland, USA.
Miss Tanzania USA Aysha Cheyo bado akifurahia ushindi huo kwenye Jukwaa.
Miss Tanzania USA akiwa na mshindi wa pili Kupewa Mushala (kushoto) na Mshindi wa tatu Jessica L. Kalemera (kulia).
Mama Winny Casey, CEO na Mwanzilishi wa Miss Tanzania USA akiwa Miss Tanzania USA mpya na yule wa zamani.
Miss Tanzania USA finalists wakiwa jukwaani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Angalau naona fabric za vitenge na kanga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...