Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimkabidhi zawadi Naibu Gavana wa Kanda ya Brabant Walonia ya Ubelgiji Mhe. Isabelle Kibassa Maliba baada kufanya mazungumzo naye ofisini kwake Wavre Ubelgiji.
Naibu Gavana wa Kanda ya Brabant Walonia ya Ubelgiji Mhe. Issable Kibassa Maliba akimkabidhi zawadi Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala baada kumaliza mazungumzo naye. Balozi Kamala yuko kwenye ziara ya kutembelea kanda mbalimbali za Ubelgiji.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...