Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda kwenye boti katika Bandari ya Mafia kwenda Bandari ya Nyamisati, wilayani Rufiji baada kufanya ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Kinana akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la ofisi ya CCM Wilaya ya Rufiji. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Mafia, Abdulkarim Shaha.
 Kinana akifunua pazia wakati wa uzinduzi wa jengo hilo la kisasa.

 Kinana akitoka kukagua ujenzi wa mradi wa maji wa bomba la Visiwa vya Chole na Juani wilayani Mafia. 
 Kinana na Katibu wa Uenezi na Itikadi wa CCM, Nape Nnauye wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya jengo hilo.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...