Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seiof Ali Iddi akikabidhi Seti ya Kompyuta na Printa yake kwa Uongozi wa Unique Learning School iliyopo Upenja Wilaya ya Kaskazini “ B”.
  Balozi Seif akiwasisitiza wanafunzi wa Unique Learning School kujitahidi katika masomo yao ili kujijengea hatma njema ya maisha yao ya baadaye kIelimu.
Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi na Wanafunzi wa Unique Learning School mara baada ya kuwakabidhi Kompyuta kutekeleza ahadi aliyoupa uongozi wa skuli hiyo. 
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...