Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa miwani) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa timu za mpira wa miguu za vijana wa Tanzania Ubeligiji baada ya kuwakabidhi jezi za mpira wa miguu. Balozi Kamala amewashukuru vijana hao kutangaza Tanzania vizuri na kudumisha umoja na ushirikiano miongoni mwao.
Home
Unlabelled
BALOZI KAMALA AKABIDHI JEZI ZA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU TIMU ZA VIJANA WA TANZANIA UBELIGIJI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...