Abiria wanaosafiri kutoka Nachingwea kwenda Dar kupitia masasi,wamekwama asubuhi hii katika eneo la kijiji cha Lukuledi kilichopo katika mpaka wa wilaya za Nachingwea na Masasi,baada ya Lori la mizigo kukwama kutokana na matengenezo ya daraja katika kijiji hicho,hali hiyo ilimepelea baadhi ya mabasi kurudi na kupitia njia ya mzunguko hadi Ndanda kurudi Masasi.Picha na Abdulaziz Video wa Globu ya Jamii,Lindi.
Kibao cha Mkandarasi wa Daraja hilo.
Poleni sana wasafiri na wakazi wa eneo hilo.
ReplyDeleteLukuldi imenikumbusha kitabu cha kiswahi nadhani ni darasa la tatu kulikua na adithi moja inakiusu kijiji cha Lukuledi wilayani Masasi. Sijawahi kufika huko lakini kwa kuangalia mazingira kwenye picha nimekupenda.