Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi   wa Oman  Nchini Tanzania  Mhe,Saoud Al Ruqaishi  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Hundi ya Tanzania Shilingi Billioni 12.3 kutoka Balozi   wa Oman  Nchini Tanzania  Mhe,Saoud Al Ruqaishi  ikiwa ni msaada  kwa ajili ya ununuzi wa Vifaa kwa  kiwanda cha upikaji Chapa (kushoto  Balozi Mdogo  wa Oman  aliyepo  Zanzibar Mhe,Ali Abdulla Al-Rashdi  hafla ya makabidhiani ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo .
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi   wa Oman  Nchini Tanzania  Mhe,Saoud Al Ruqaishi  baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...