Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akikagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kolo katika Barabara ya Dodoma-Babati sehemu ya Mela-Bonga.
 Mwandisi Mkazi katika mradi wa Barabara ya Dodoma-Babati sehemu ya Mayamaya-Mela, Eng. Emeterio Onias wapili kutoka kulia akimpa maelekezo Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe kuhusu ujenzi wa Barabara  hiyo.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe katikati akitoa maelekezo kwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Dodoma-Babati sehemu ya Dodoma-Mayamaya.
 Ujenzi ukiendelea katika daraja la Kolo.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akiwa na baadhi ya wahandisi akikagua Makalavati katika Barabara ya Dodoma-Babati sehemu ya Mayamaya-Mela
Ujenzi wa barabara ya Mela-Bonga ukiendelea kwa kasi.Picha na Maelezo kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano-Wizara ya Ujenzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...