Diamond Platnumz katika stage la Tamasha kubwa la burudani linalokwenda kwa jina la JEMBEKA FESTIVAL liliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kukusanya ummati mkubwa. Tamasha hilo liliweza kukidhi haja za mashabiki wake kwani walilazimika kubaki eneo la tukio hadi mwisho wa tukio majira ya saa 12 asubuhi ya siku iliyofuata.
Diamond Platnumz akimlisha keki Mkurugenzi wa Jembe ni Jembe Dr. Sebastian Ndege ikiwa ni sehemu ya Uzinduzi wa Jembe Fm 93.7 Mwanza, ndani ya Tamasha la JEMBEKA FESTIVAL liliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kukusanya ummati mkubwa. Tamasha hilo liliweza kukidhi haja za mashabiki wake kwani walilazimika kubaki eneo la tukio hadi mwisho wa tukio majira ya saa 12 asubuhi ya siku iliyofuata. 
Cake ya uzinduzi.
Diamond Platnumz na stage la JEMBEKA FESTIVAL = OYOMBA YES..
Juu..
PICHA ZAIDI  BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...