Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akisalimiana na Mtawa wa kanisa katoliki pamoja na wananchi waliohudhuria ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Mhashamu Edward Mapunda kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Singida jana.Kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi Thobias Sedoyeka.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akisalimiana na watawa wa kanisa katoliki waliohudhuria ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Mhashamu Edward Mapunda kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Singida jana.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk.Parseko Kone(kushoto) akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu (kulia) kabla ya kuanza ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Mhashamu Edward Mapunda kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Singida jana.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akimpongeza Askofu Edward Mapunda baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu wa Jimbo katoliki Singida.Ibada hiyo ilifanyika jana mkoani Singida.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...