Leo [06 Juni, 2015] ni mwaka mmoja tangu ututoke ghafla katika dunia hii. Mama yetu mpenzi Jasmin Salum Saadallah.

Sisi tulikupenda lakini Mola alikupenda zaidi. Mapenzi ya Allah Yatimizwe.Unakumbukwa siku zote na watoto, wajukuu, ndugu, jamaa na marafiki zako.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu  
ailaze roho yako mahali pema peponi.
 AMIN
  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...