Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akikabidhi misaada kwa Mlezi wa kituo cha Makao ya Taifa ya watoto wenye shida maalum cha kurasini  Beatrice Mgumilo
Mbunge wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu ametoa msaada wa vitu mbalimbali vya nafaka na magodoro pamoja na kompyuta kwa Yamoto Band ambapo jumla ya vikundi kumi na vitatu vimepatiwa misaada mbalimbali na mbunge huyo.
mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation , Sitti Mtemvu  akizungumza na walezi wa watu wenye mahitaji maalum, wakati Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  alipokabidhi misaada ya vitu mbalimbali, vikiwemo vyakula, mafuta ya kula, magodoro na kompyuta ambapo jumla ya vikundi kumi na vitatu vimepatiwa misaada mbalimbali na mbunge huyo.
 Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  akizungumza na walezi wa watu wenye mahitaji maalum, wakati alipokabidhi misaada ya vitu mbalimbali, vikiwemo vyakula, mafuta ya kula, magodoro na kompyuta ambapo jumla ya vikundi kumi na vitatu vimepatiwa misaada mbalimbali na mbunge huyo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...