Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akipokea saluti kutoka kwa Askari Polisi, wakati alipowasili kwa
Helkopta, kwenye Uwanja wa Nguruka Kati, Uvinza, Mkoani Kigoma kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo, leo Septemba 4, 2015.PICHA NA OTHMAN MICHUZI, KIGOMA.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akikaribishwa na Mwenyeji wake, Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma
Kusini katika mwamvuli wa Ukawa kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David
Kafulila, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Nguruka Kati, Uvinza, Mkoani Kigoma, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo, leo Septemba 4, 2015.Katikati ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akiwasalimia wananchi wa Kigoma Kusini, waliokuwa wamefurika kwenye
Uwanja wa Nguruka Kati, Uvinza, Mkoani Kigoma wakati wa Mkutano wa
Kampeni, uliofanyika leo Septemba 4, 2015.
KUONA PICHA ZAIDI
Hii saluti kutoka afande hupigwa kwa wagombea wote wa urais au kwa sababu Lowassa aliwakuwa Waziri Mkuu wa 8?
ReplyDelete