Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Mkoani Manyara, Mh. Mahmoud Kambona akizungumza wakati akifungua kongamano la uhamasishaji wa mpango wa Bima ya Afya wa kikoa kwa wajasiriamali na vikundi vilivyosajiliwa Mji mdogo wa Mirerani.Kulia kwake ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa mkoa huo, Isaya Shekifu na kushoto kwake ni Ofisa Tarafa ya Moipo, Joseph Mtataiko.
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa Mkoa wa Manyara, Isaya Shekifu akizungumza katika kongamano la uhamasishaji wa mpango wa bima ya afya wa kikoa kwa wajasiriamali na vikundi vilivyosajiliwa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro.kulia ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Mh. Mahmoud Kambona na kushoto ni mratibu wa NHIF na mfuko wa afya ya jamii (CHF) mkoani humo, Reginald Kileo.
Mkazi wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Thobias Magati Chacha, akizungumza kwenye kongamano la uhamasishaji wa mpango wa bima ya afya wa kikoa kwa wajasiriamali na vikundi vilivyosajiliwa, lililoandaliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) Mkoa wa Manyara.
Vikundi mbalimbali vya wajasiriamali wa Vicoba, Saccos na wasindikaji ngozi wa Mji mdogo wa Mirerani Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, wakiwa kwenye kongamano la uhamasishaji wa mpango wa bima ya afya kwa wajasiriamali na vikundi vilivyosajiliwa (Kikoa). Picha na Joseph Lyimo, Manyara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...