Baadhi ya wateja wa kubwa na wadogo wa Vodacom Tanzania,wakimsikiliza Meneja Biashara wa kitengo cha huduma za kifedha cha M-PESA wa Kampuni hiyo Leon Munyeti,wakati wa semina ya kibiashara kuhusu matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kwenye biashara iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Daud Kabalika ambaye ni Mteja wa Vodacom Tanzania (kulia) akimuuliza swali Meneja Biashara wa kitengo cha huduma za kifedha cha M-PESA wa Kampuni hiyo Nixon Bonaventure,wakati wa warsha ya kibiashara iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mteja wa Vodacom Tanzania, Pendo Chawe akifafanuliwa jambo na Mshauri wa kibiashara wa Vodacom Tanzania, Goodluck Moshi (katikati) kuhusiana na huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo kwa wafanyabiashara wadogo na wakubwa wakati wa warsha ya kibiashara iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo,kulia ni Nixon Bonaventure.
Meneja biashara wa Vodacom Tanzania,Joseph Muhele (kushoto)akimsihi jambo Jacob David ambaye alikuwa ni mmoja wa washiriki wa warsha iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania mahususi kwa wateja wake wa kibiashara leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa warsha ya kibiashara iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake juu ya matumizi ya teknolojia ya mawasiliano katika kuboresha biashara zao iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...