Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. HAPA KAZI TU.

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli Mh. Balozi Ombeni Sefue umesema vizuri sana. Tunamwombea Magufuli na Waziri Mkuu na wewe mwenyewe ili mzidi kushirikiana kama tunavyowaona ili maendeleo yapatikane. Ushauri. Mkipunguza kodi kidogo tu. Watu wengi zaidi watalipa kodi. Nchi imeisha aanza kunyoka msirudi nyuma. Hapo mlipo mnajenga mfumo wa kazi. Yaani msirudi nyuma. Mkirudi nyuma tu mtaharibu. Mfano nasikia Rwanda ukigonga alama za barabarani faini yake ni nusu ya gari. Watu hawadhubutu kuzigonga. Hivyo endeleeni kusimamia sheria. Mungu ibariki Tanzania..Mungu ibariki serikali ya awamu ya tano.

    ReplyDelete
  3. Juhudi za Tanzania zinazungumziwa sana katika
    makala mbalimbali duniani. TANZANIA NI ROHO
    YA AFRIKA.

    ReplyDelete
  4. Mpaka dakika hii, raisi amefanya kazi nzuri sana. Rumuombee afya njema na kinga dhidi ya maadui. Pia tumpe ushirikiano wa kutosha ili aweze kuendelea kutimiza majukumu yake na kufikia malengo tarajiwa.

    ReplyDelete
  5. Shillingi billioni 7 zimeokolewa siku mia moja kutoka Safari za nje tu. Hapa kazi tu kweli.

    ReplyDelete
  6. Tumuombee Raisi arudishe nyumba za serikali zilizouzwa wakati wa utawala wa Raisi Mkapa.

    Tumuombee afutilie mbali mkataba wa iptl. Tumuombee arekebishe mikataba ya uchimbaji madini na gesi na Tanzania tupate 80% ya mapato na wawekezaji watapata 20%.

    Tumuombee amalize kabisa tatizo na umeme, na kamwe asiridiriki kuibinafsisha Tanesco.

    Tumuombee aiwezeshe ttcl kuwa na monopoly ktk sekta ya mawasiliano ya simu na data, yaani vodacom, halotel, huawei,na wengine waondolewe.

    Tumuombee aweze kujenga reli zetu kwa kiwango cha standard gauge. Tumuombee afufue reli ya tazara.

    Tumuombee afungue tawi jipya la utalii kusini na magharibi mwa Tanzania, na kuzidi kuliimarisha tawi la utalii la kaskazini.

    Tumuombee ajenge bandari mpya ya Bagamoyo, lakini kwa sisi wenyewe kukopa na siyo kuwaruhusu wachina waimiliki kwa miaka 30 kabla hawajatukabidhi.

    Tumuombee aimarishe hospitali zetu na viongozi wetu wasilazimike kwenda nje kwa matibabu, bali viongozi wa mataifa mengine waje Tanzania kutibiwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...