Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu katikati akizungumza na Balozi wa Korea Nchini Tanzania (Song, Geum-Young) wa kwanza kushoto akiwa na Katibu wake Songwon Shin wa pili kushoto. 
 Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania, Florence Tinguely Mattli wa kwanza kushoto akiwa na Mkuu wa Sekta ya Afya ya Ubalozi wa Switzerland, Thomas Teuscher wa pili kushoto.
Balozi wa Korea Nchini Tanzania, Song, Geum-Young akizungumza na Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, wa pili kushoto ni Katibu wake Songwon Shin.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hallo kaka Michuzi mimi kama msomaji wa brog yako huwa napata shida moja hasa unapo toa habari za hizo nchi za korea hufafanui kuwa ni korea ipi, kusini au kaskazini. Tafadhali tusaidie kwa hilo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...