Rais wa chama cha Wakunga Tanzania (TAMA) bi.Feddy Mwanga akizungumza leo na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu maadhimisho ya siku ya mkunga duniani yatakayofanyika kesho , jijini Dar es Salaam, Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wakunga Tanzania Dkt. Sebalola Leshabari .
Katibu Mkuu wa Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA) Dk. Sebalola Leshabari akiwasilisha maada katika mkutano wa kuelekea maadhimisho ya Mkunga Duniani, uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wadau mbalimbali waliofika kwenye mkutano wa kuelekea maadhimisho ya siku ya mkunga duniani, uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu, Jamii)
samahani sana lakini wakunga wengi ni watu makatili sana sijapata kuona , ingawa kutokana na majukumu waliyopewa na jamii wanatakiwa kuwa wenye huruma na upendo kinyume chake huwa madhalimu na wanyanyasaji wakubwa katika kazi zao, kama huamini Michuzi hebu kafanye uchunguzi kwa njia zako kule leba wodi muhimbiri kuna chumba kinaitwa kariakoo.
ReplyDelete