Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi Mathias Chikawe ambaye ameteuliwa kuiwakilisha Tanzania nchini Japan Balozi Chikawe alipofika  kumuaga Waziri Mkuu ofisini kwake mjini Dodoma leo akiwa tayari kwenda kuanza kazi yake.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Denmark nchini Tanzania Bwana Einar Jensen ambaye alifika ofisini kwa waziri mkuu mjini Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. 
Picha na Chris Mfinanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...