Inline image 1

1. Watoto wana mifupa 60 zaidi kuliko watu wazima na ndio maana hawachoki haraka, ukitaka kuamini amka na mtoto wako saa 12 asubuhi halafu ufanye kila anachofanya ikifika saa tatu bado uko fiti ni bahati wakati yeye ndio kwaanza alikua anapiga jaramba. Mtoto anapozaliwa huwa na mifupa 270 ambayo hupungua hadi kufikia 206 utu uzimani
2. Ukwei ni kwamba jasho katika miili yetu silo linalotoa harufu mbaya isipokuwa ni bacteria katika ngozi zetu wanafanya jasho litoe harufu mbaya
3. Ingawa wengi tunadhani tuna macho mawili, ukweli ni kwamba macho yapo matatu kwenye mwili wako....(hii mada itakujia karibuni kwa upekee kabisa)
4. Pua ndicho kiungo kilicho mbele zaidi kuliko kiungo kingine chochote kile na ndio maana HAKI YAKO INAISHIA PALE PUA YA MWENZIO INAPOANZIA. Pua na sikio ndicho kiungo pekee ambacho hakiachi kila siku kinakua
5. Kila mtu ana alama za kipekee katika kiganja na ulimi wake. na ndio maana kuna finger prints
6. Mapigo ya moyo wako hubadilika kutokana na aina ya muziki unaosikiliza.............
7. Ni Asilimia 20 tu ya damu na oksigeni katika mwili wako hutumiwa na ubongo wako.
8. Ingawa unajiona uko imara lakini ukweli ni kwamba asilimia 30 ya mifupa yako ni maji
9. Moyo wako hutengeneza nguvu yenye uwezo wa kuendesha roli kwa siku moja kwa zaidi ya kilometa 30
10. Wastani wa matumizi ya GB za ubongo wako ama CPU ni asilimia 4 hadi 6 tu kwa siku na ukijibidisha ukafika walau 10% utafanya maajabu duniani
11. Kila Kiungo Katika Mwili wako kina thamani endpo utaamua kukiuza
12. Kiwango cha juu cha joto kilichorekodiwa katika mwili wa binadamu ni nyuzijoto 46.5
13. Tindikali katika utumbo wako ikiwekwa kwenye mkono wako ina uwezo wa kutoboa kiganja chako
14. Unaweza kuondolewa tumbo, 80% ya ini, utumbo, figo moja ,na pafu moja na bado ukaendelea kuishi.
15. Ingawa ubongo una uwezo wa kutambua maumivu kutoka sehemu mbali mbali za miili yetu lakini , ubongo wenyewe hausikii maumivu hata siku moja hii ndio maana oparesheni ya ubongo inaweza kufanyika bila ya mtu kulala.
16. Kiwango kikubwa cha vumbi katika nyumba yako ni ngozi yako iliyokufa. vumbi kwenye chumba chako especially chumbani ni mabaki ya ngozi yako ambayo inajibandua kila siku
17. Utafiti unaonyesha wanaume wenye nywele nyingi wana akili nyingi pia (lakini sio kwa vichaa maana hiyo ni kesi nyingine kabisa)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...