Ni miaka 25 leo toka baba yetu mpenzi Joseph Cosmas Mango, ametangulia kwa baba yetu Muumba yote. Familia yote ya Mango inaendelea kukumbuka busara na hekima zako daima .Tutakua na misa ya kumbukumbu leo saa 11 jioni katika kanisa la Mashahidi wa Uganda Magomeni.Wote mnakaribishwa.Mwenyezi Mungu aendelee kuilaza Roho yako mahali pema peponi,Amina.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Upumzike kwa amani baba mdogo. Ingawa sitakuwepo katika misa leo Magomeni, sala zangu zitaunganika na ndugu zetu wote. Always warm remembered.And thank you Michuzi for posting this. Mussa Urusi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...