Mkurugenzi wa Huduma za Masoko Tigo, William Mpinga(katikati)
akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye
mkutano wa kutambulisha wasanii watakaopanda katika jukwaa la Tigo
Fiesta siku ya jumamosi viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam leo
mchana. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Tigo Fiesta, Sebastian Maganga
na wengine ni wasanii.
Msanii Ben Pol akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya wasanii wa kiume
Msanii Vanessa Mdee akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya wasanii wa kike.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...