Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. fanyeni mazoezi mkate matumbo maana hapa mnashindwa kuwakilisha huku mkiwa mmenenepeana kama hamjui mtu ni afya.

    ReplyDelete
  2. kipindi cha leo kulikuwa na point muhimu za kuzungumzia lakini huyo aliyekuwa tanzania ana mikelele kama nini naomba vijimambo irudi hewani watu wajijue ni nini cha kuongea kwenye kamera na nini cha kutoongea huyo mwenye tshirt nyekundu mshamba hata basi utazani kuku anataka kutaga
    the rest they was good hivi kunakiongozi anayeruhusu nani aongea au nani asiongee kama yupo basi hawamuheshimu,mikelele kama chadema na ccm ext week i hope i will not be dissapointed

    ReplyDelete
  3. Iyo fulanaaz mpaka kichef chef mpaka inanuka mavwi

    ReplyDelete
  4. je hiyo fulana inafuliwaga?

    ReplyDelete
  5. haya mazungumzo mbona ni sawa ni ya kilabu ya pombe za kienyeji?

    ReplyDelete
  6. mbona mchuzi anasema anaondoka, lakini haondoki?

    ReplyDelete
  7. mpwa, unaonekana mstaarabu kuliko watu wote katika mkutano huu wa kijiwe

    ReplyDelete
  8. hii clip ina makelele ile mbaya hebu rekebisheni please hatuwasikii na jama domo kaya cha domoo anatibuwa watu mario benja pole pole bwana umeshakuwa mtu mzima

    ReplyDelete
  9. Babu yangu aliwahi kutamka, "shinda hoja kwa kutumia nguvu ya hoja na siyo kwa kutumia nguvu ya DOMO". Wanabaki kupiga makelele tu mpaka inatia aibu kusikiliza some of this verbal diarrhoea.

    ReplyDelete
  10. kijiwe manaake makelele....makelele ndo the whole point ya kijiwe. ushaenda kijiweni ukakuta watu wanajadiliana kama wako ofisini? hiyo siyo mijadala ya board room. ni KIJIWE...i like it just the way it is, inasereve the purpose

    ReplyDelete
  11. Dah! Mwaipaja umemaliza ishu yote ya Diaspora, KWISHA KAZI. Nashangaa kuona watu Bongo wanatusema Diaspora vibaya. Nadhani inabidi sasa hivi tukufanya kitu kizuri kwa Bongo tujitangaze kwa nguvu, siamini vitu tunavyofanya na bado tunafanya Bongo, ya kwamba watu hawatupendi, naamini ni chuki binafsi.Lakini kitu kimoja napenda kujiuliza sisi Diaspora,Je mchango wetu wa uraia pacha ni Watanzania waliopo Marekani tu, au U.K, Ulaya, Asia na sehemu nyingine wanahusishwa? Diaspora tuache mdomo tufanye kweli. Naamini kati ya USA, Canada, UK na Asia, toa kidogo watu walioko vibaya kipesa, tungekuwa tumetimiza elfu $25. Iki ndiyo viongozi wetu wameona kinafaa, changia tuache mdomo, mie nilishachangia tayari, ingawa naona uraia pacha hautanisadia.
    *Mmbongo Chiberia*

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...