Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2014

    Idara karibu zote za serikali na mashirika ya umma wanaajiri kwa mtindo huo huo, kwa nini hatua hii ni kwa uhamiaji tu?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2014

    Changa la macho hilo "MJOMBA". Wote hao wataitwa kimya kimya mchezo unaisha. Hii inchi bwana.....??rushwa kila sehemu Mungu atusamehe kwa dhambi hii kwa kweli

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 30, 2014

    Hata orodha yenyewe kwa jumla hao waliopitishwa, basi kama umebahatika kuiona, inajidhihirisha wazi ni wao kwa wao tu wamechaguwana wana ndugu, jamaa na marafiki zao. Hakuna haki yeyote iliyotendeka hapo, nakuunga mkono mdau wa pili hapo juu, wote hao wataitwa kimya kimya mchezo unaisha wala sio uongo na hakuna chochote kitakachofanyika, dhuluma tupu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2014

    Tupeane updates kuhusu nini kitajiri maana hizi post ni very potential kwa maslahi ya nchi. jinsi walivyochaguliwa ni kwa maslahi ya baadhi ya viongozi na jinsi wanavyokingiana Natoka uingizaji wa Vitu haram na usafirishaji wa Mali asili zetu kibaradhuli. I hate em for not being fear na kutokuwa na uzalendo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...