Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongea na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Bunge la SADC Mhe. Sylvianne Valmont kutoka Bunge la Ushelisheli  alipokutana nae wakati wa Mkutano wa 36 wa Umoja huo unaoendelea Mjini Victoria Falls Zimbabwe. Makinda anagombea nafasi ya Urais wa Chama hicho. Kati  ni Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe Mhe. Adadi Rajabu.
  1. Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimsikiliza  akiwa katika mazungumzo na Mjumbe kutoka Bunge la Swaziland Mhe. Sikhumbazo Ndlovu kuhusu nia yake pamoja na ujumbe wake kumuunga mkono katika harakati za kusaka Urais wa umoja wa Mabunge ya nchi wananchama wa SADC. 
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimsikiliza mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Bunge la SADC Mhe. Sylvianne Valmont kutoka Bunge la Ushelisheli  alipokutana nae wakati wa Mkutano wa 36 wa Umoja huo unaoendelea Mjini Victoria Falls Zimbabwe. Makinda anagombea nafasi ya Urais wa Chama hicho. Kulia ni Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe Mhe. Adadi Rajabu. Picha na Owen Mwandumbya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...