Mkurugenzi Mwendeshaji wa AICC, ndugu Elishilia Kaaya (kushoto) akimkabidhi ndugu HusseinBaitira hundi yenye thamani ya shilingi 3,800,000/- ikiwa ni motisha kwa mfanyakazi huyo baada ya kuonesha ubunifu katika kutengeneza viyoyozi kumi (10) vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) viyoyozi ambavyo vilikuwa vimeharibika. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...