Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Mhe. Song Geum-Young na Bw. Lee Hyonjong (wa pili kushoto), ofisini kwake leo, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Mhe. Song Geum-Young na Bw. Lee Hyonjong Mwakilishi wa Dar es Salaam kutoka Benki ya Exim ya Korea Bw. Lee Hyonjong, kuhusu uwekezaji wa miradi inayotekelezwa na Wizara hiyo, ofisini kwake leo, jijini Dar es Salaam.
Moja ya mradi uliokuwa
ukijadili na ugeni kutoka Mwakilishi wa Dar es Salaam kutoka Benki ya Exim ya
Korea Bw. Lee Hyonjong na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame
Mbarawa leo, jijini Dar es Salaam. Imetolewa
na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...