Ndugu, Jamaa, Marafiki ,Familia na wote tuliopatwa na msiba huu wa marehemu Professor Henslay William Kabisama uliotokea huko Marekani Ontario ,California .
Familia itawasili kutoka Marekani siku ya Jumatano tarehe 19th July usiku.
Tutaanza maombolezo siku hiyo hiyo ya Alhamisi ya tar 19 nyumbani kwa marehemu Ursino Victoria nyuma ya Ofisi za Halotel.
Siku ya Ijumaa tar 21 July Mwili wa mpendwa wetu Prof Henslay Kabisama utawasili siku ya Ijumaa, tarehe 21st July saa tisa mchana.
Mazishi yatafanyika siku ya Jumamosi tarehe 22nd July. Ikitanguliwa Na Ibada ambayo itafanyika katika kanisa la St Alban Upanga saa saba kamili mchana na baada ya hapo tutaelekea makaburi ya kinondoni kwa mazishi.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina bwana libarikiwe.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...